CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 27
Andika nomino za makundi katika sentensi zifuatazo: (alama 5) a. Barabarani kulikuwa na mlolongo wa magari.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino za Makundi
6. Andika nomino za makundi katika sentensi zifuatazo: (alama 5)
a. Barabarani kulikuwa na mlolongo wa magari.
Answer
mlolongo
"mlolongo" ni jina la kundi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- b. Safu ya milima hupendeza.Question 28
- c. Kikosi cha askari kilikuwa kimesimama barabarani.Question 29
- d. Fatuma alinunua jozi ya viatu.Question 30
- e. Mama alinunua pakacha la matunda sokoni.Question 31
- Kamilisha methali hizi: (alama 3) a. Mgagaa na upwa ___Question 32
- b. Achanikaye kwenye mpini ___Question 33