CBC Grade 4 Kiswahili End Term 1 Exam 2025
Kiswahili — Mwisho wa Muhula 1 2025 Set 3 (Lugha na Kusoma) · Mwisho wa Muhula 1 2025 Set 3 (Lugha na Kusoma) · 13 questions
Topics: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kusoma.
All 13 questions with answers
- Question 1: Teketeke huzaa gumugumu na gumugumu huzaa teketeke.Answer: A. yai
- Question 2: Huwa safi kikiwa cheusi na kichafu kikiwa cheupe.Answer: B. ubao
- Question 3: Andika nomino tano kutoka kifungu.Answer: Mwalimu, James, Jumatatu, Naomi, Mombasa
- Question 4: Damiana analima shamba. (Neno lililopigiwa mstari: Damiana)Answer: Yeye analima shamba.
- Question 5: Wanafunzi tutafunga lini? (Neno lililopigiwa mstari: Wanafunzi)Answer: Sisi tutafunga lini?
- Question 6: Maembe, machungwa na mananasi ni matunda.Answer: na
- Question 7: Nilimshauri ila hakusikia.Answer: ila
- Question 8: Maneno polepole, vizuri, haraka haraka, upesi na darasani niAnswer: B. vielezi
- Question 9: Nani alikuwa anaenda kazi asubuhi ile?Answer: Mama.
- Question 10: Mama aliwataka watoto wasikilize kwa ___Answer: Makini.
- Question 11: Mama anaposema, nikirudi nipate nyumba na vyombo vyote ni vichafu ana maanisha nini?Answer: Anamaanisha kinyume: anataka akirudi apate nyumba na vyombo vikiwa safi, yaani anawaonya wasiache vichafu.
- Question 12: Watoto wale walikuwa na mazoea yapi?Answer: Walikuwa na mazoea ya kucheza (walipenda mchezo).
- Question 13: Je, unafikiri mama aliporudi jioni alipata watoto wamefanya nini?Answer: Alipata watoto wamesafisha nyumba na vyombo, na hawakula chakula cha mtoto.