CBC Grade 4 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 7
Nilimshauri ila hakusikia.
From Kiswahili — Mwisho wa Muhula 1 2025 Set 3 (Lugha na Kusoma) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viunganishi
Andika kiunganishi kilichotumika katika sentensi hii.
Nilimshauri ila hakusikia.
Answer
ila
Ila inaunganisha sehemu mbili za sentensi zinazopingana: nilimshauri, ila hakusikia.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Maneno polepole, vizuri, haraka haraka, upesi na darasani niQuestion 8
- Nani alikuwa anaenda kazi asubuhi ile?Question 9
- Mama aliwataka watoto wasikilize kwa ___Question 10
- Mama anaposema, nikirudi nipate nyumba na vyombo vyote ni vichafu ana maanisha nini?Question 11
- Watoto wale walikuwa na mazoea yapi?Question 12
- Je, unafikiri mama aliporudi jioni alipata watoto wamefanya nini?Question 13