naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 12

Watoto wale walikuwa na mazoea yapi?

From Kiswahili — Mwisho wa Muhula 1 2025 Set 3 (Lugha na Kusoma) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu kisha ujibu maswali.

Asubuhi moja, mama alikuwa tayari kuondoka akielekea kazi pale, Tembea Tuonane. Aliwaita watoto wake na kuwaambia wamsikilize kwa makini.

“Ninaenda kazini. Nimeacha kila kitu kikiwa sawa hapa nyumbani. Ninajua mnapenda mchezo. Nikirudi nipate nyumba na vyombo vyote vichafu. Nipate pia mmekula chakula chote hata cha mtoto, sawa?” mama aliwaambia, kwa kujua mazoea ya watoto wake. “Sawa, mama!” wote walijibu. Mama aliondoka akaenda kazini.

Watoto wale walikuwa na mazoea yapi?

Answer

Walikuwa na mazoea ya kucheza (walipenda mchezo).

Mama anasema: "Ninajua mnapenda mchezo." Hayo ndiyo mazoea ya watoto wake.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test