CBC Grade 4 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 3
Andika nomino tano kutoka kifungu.
From Kiswahili — Mwisho wa Muhula 1 2025 Set 3 (Lugha na Kusoma) · 5 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Soma kifungu hiki kisha uchague nomino kutoka kifungu.
Mwalimu wangu anapenda kufunza lugha ya Kiswahili. James husoma vizuri katika kipindi cha lugha. Jumatatu masomo ya asubuhi, Naomi pia husoma ufahamu kwa ufasaha, kweli watu wa Mombasa hupenda Kiswahili kuliko wengine.
Andika nomino tano kutoka kifungu.
Answer
Mwalimu, James, Jumatatu, Naomi, Mombasa
Nomino ni jina la mtu, mahali, kitu au wakati. Katika kifungu kuna majina ya watu (Mwalimu, James, Naomi), mahali (Mombasa), siku (Jumatatu) na vitu kama lugha, kipindi na masomo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Damiana analima shamba. (Neno lililopigiwa mstari: Damiana)Question 4
- Wanafunzi tutafunga lini? (Neno lililopigiwa mstari: Wanafunzi)Question 5
- Maembe, machungwa na mananasi ni matunda.Question 6
- Nilimshauri ila hakusikia.Question 7
- Maneno polepole, vizuri, haraka haraka, upesi na darasani niQuestion 8
- Nani alikuwa anaenda kazi asubuhi ile?Question 9