CBC Grade 4 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 4
Damiana analima shamba. (Neno lililopigiwa mstari: Damiana)
From Kiswahili — Mwisho wa Muhula 1 2025 Set 3 (Lugha na Kusoma) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
Andika sentensi hizi upya. Tumia viwakilishi (sisi, wewe, yeye) badala ya maneno yaliyopigiwa mstari.
Damiana analima shamba. (Neno lililopigiwa mstari: Damiana)
Answer
Yeye analima shamba.
Damiana ni mtu mmoja anayezungumziwa (nafsi ya tatu umoja), kwa hivyo tunatumia kiwakilishi yeye: Yeye analima shamba.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Wanafunzi tutafunga lini? (Neno lililopigiwa mstari: Wanafunzi)Question 5
- Maembe, machungwa na mananasi ni matunda.Question 6
- Nilimshauri ila hakusikia.Question 7
- Maneno polepole, vizuri, haraka haraka, upesi na darasani niQuestion 8
- Nani alikuwa anaenda kazi asubuhi ile?Question 9
- Mama aliwataka watoto wasikilize kwa ___Question 10