CBC Grade 4 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 6
Maembe, machungwa na mananasi ni matunda.
From Kiswahili — Mwisho wa Muhula 1 2025 Set 3 (Lugha na Kusoma) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viunganishi
Andika kiunganishi kilichotumika katika sentensi hii.
Maembe, machungwa na mananasi ni matunda.
Answer
na
Kiunganishi ni neno linalounganisha maneno au sentensi. Hapa na inaunganisha machungwa na mananasi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Nilimshauri ila hakusikia.Question 7
- Maneno polepole, vizuri, haraka haraka, upesi na darasani niQuestion 8
- Nani alikuwa anaenda kazi asubuhi ile?Question 9
- Mama aliwataka watoto wasikilize kwa ___Question 10
- Mama anaposema, nikirudi nipate nyumba na vyombo vyote ni vichafu ana maanisha nini?Question 11
- Watoto wale walikuwa na mazoea yapi?Question 12