CBC Grade 4 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 11
Mama anaposema, nikirudi nipate nyumba na vyombo vyote ni vichafu ana maanisha nini?
From Kiswahili — Mwisho wa Muhula 1 2025 Set 3 (Lugha na Kusoma) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kisha ujibu maswali.
Asubuhi moja, mama alikuwa tayari kuondoka akielekea kazi pale, Tembea Tuonane. Aliwaita watoto wake na kuwaambia wamsikilize kwa makini.
“Ninaenda kazini. Nimeacha kila kitu kikiwa sawa hapa nyumbani. Ninajua mnapenda mchezo. Nikirudi nipate nyumba na vyombo vyote vichafu. Nipate pia mmekula chakula chote hata cha mtoto, sawa?” mama aliwaambia, kwa kujua mazoea ya watoto wake. “Sawa, mama!” wote walijibu. Mama aliondoka akaenda kazini.
Mama anaposema, nikirudi nipate nyumba na vyombo vyote ni vichafu ana maanisha nini?
Answer
Anamaanisha kinyume: anataka akirudi apate nyumba na vyombo vikiwa safi, yaani anawaonya wasiache vichafu.
Mama anajua watoto wake hupenda mchezo, kwa hivyo anasema kinyume cha anachotaka ili kuwaonya. Anataka akirudi apate nyumba na vyombo vikiwa safi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Watoto wale walikuwa na mazoea yapi?Question 12
- Je, unafikiri mama aliporudi jioni alipata watoto wamefanya nini?Question 13
- Teketeke huzaa gumugumu na gumugumu huzaa teketeke.Question 1
- Huwa safi kikiwa cheusi na kichafu kikiwa cheupe.Question 2
- Andika nomino tano kutoka kifungu.Question 3
- Damiana analima shamba. (Neno lililopigiwa mstari: Damiana)Question 4