CBC Grade 4 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 13
Je, unafikiri mama aliporudi jioni alipata watoto wamefanya nini?
From Kiswahili — Mwisho wa Muhula 1 2025 Set 3 (Lugha na Kusoma) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu kisha ujibu maswali.
Asubuhi moja, mama alikuwa tayari kuondoka akielekea kazi pale, Tembea Tuonane. Aliwaita watoto wake na kuwaambia wamsikilize kwa makini.
“Ninaenda kazini. Nimeacha kila kitu kikiwa sawa hapa nyumbani. Ninajua mnapenda mchezo. Nikirudi nipate nyumba na vyombo vyote vichafu. Nipate pia mmekula chakula chote hata cha mtoto, sawa?” mama aliwaambia, kwa kujua mazoea ya watoto wake. “Sawa, mama!” wote walijibu. Mama aliondoka akaenda kazini.
Je, unafikiri mama aliporudi jioni alipata watoto wamefanya nini?
Answer
Alipata watoto wamesafisha nyumba na vyombo, na hawakula chakula cha mtoto.
Watoto walielewa kwamba mama alisema kinyume. Huenda walisafisha nyumba na vyombo na kuacha chakula cha mtoto, kama mama alivyotaka kweli.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Teketeke huzaa gumugumu na gumugumu huzaa teketeke.Question 1
- Huwa safi kikiwa cheusi na kichafu kikiwa cheupe.Question 2
- Andika nomino tano kutoka kifungu.Question 3
- Damiana analima shamba. (Neno lililopigiwa mstari: Damiana)Question 4
- Wanafunzi tutafunga lini? (Neno lililopigiwa mstari: Wanafunzi)Question 5
- Maembe, machungwa na mananasi ni matunda.Question 6