CBC Grade 3 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026
Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 · Term 2 Midterm Assessment 2026 · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 30 questions with answers
- Question 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA a) Mtu anayefundisha wanafunzi anaitwa nani?Answer: Mwalimu.
- Question 2: b) Mtu anayefuga wanyama nyumbani ni nani? (mfugaji, mchezaji)Answer: Mfugaji.
- Question 3: c) Daktari ni nani?Answer: Daktari ni mtu anayetibu wagonjwa.
- Question 4: d) ___ ni mtu anayetengeneza vitu vya mbao. (seremala, mvuvi)Answer: Seremala.
- Question 5: e) Anayeendesha ndege anaitwa nani? (nahodha, rubani)Answer: Rubani.
- Question 6: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti:Answer: Katika kijiji cha Poro paliishi mzee Kaporo. Mzee huyo alijulikana kwa ujuzi wake wa hali ya juu wa uhunzi.…
- Question 7: UFAHAMU a) Mihogo ni chakula cha aina gani? (Protini, Vitamini, Wanga)Answer: C. Wanga
- Question 8: b) Andika umoja wa neno mihogo.Answer: mhogo
- Question 9: c) Kabla ya kula mihogo ni vizuri ___. (kuichemsha, kuipakua)Answer: A. kuichemsha
- Question 10: d) Ni sehemu gani ya mihogo huliwa?Answer: mizizi
- Question 11: e) Taja kinywaji kinachotumiwa kula mihogo kulingana na hadithi.Answer: chai au maziwa
- Question 12: UFAHAMU a) Taja jina la mwanafunzi aliyetajwa kwenye hadithi.Answer: Sally
- Question 13: b) Anasomea katika shule gani?Answer: shule ya Mipakani
- Question 14: c) Yeye ni mwanafunzi mwenye adabu gani?Answer: heshima
- Question 15: d) Mwanafunzi huyo ni gwiji katika mchezo upi?Answer: mpira wa pete
- Question 16: e) Yeye hufanyia mazoezi yake wapi? (Kanisani, uwanjani, gwarideni)Answer: B. uwanjani
- Question 17: SARUFI Linganisha mwezi na sikukuu: a) Sikukuu ya MadarakaAnswer: A. Juni
- Question 18: b) Sikukuu ya JamhuriAnswer: B. Disemba
- Question 19: c) Sikukuu ya WafanyakaziAnswer: C. Mei
- Question 20: HERUFI NDOGO Andika sentensi zifuatazo kwa herufi ndogo: a) MACHUNGWA YOTE YAMEOSHWAAnswer: machungwa yote yameoshwa
- Question 21: b) WACHEZAJI WALE WAMEUMIAAnswer: wachezaji wale wameumia
- Question 22: WINGI WA MANENO Andika sentensi zifuatazo kwa wingi: a) Gari litanunuliwa:Answer: Magari yatanunuliwa.
- Question 23: b) Kidole kilipona:Answer: Vidole vilipona.
- Question 24: CHAGUA JIBU SAHIHI a) Ni ___ kuchezea karibu na moto. (salama, hatari)Answer: B. hatari
- Question 25: b) Mgonjwa anafaa kutumia ___ ipasavyo ili apone. (dawa, tawa)Answer: A. dawa
- Question 26: c) Ni vizuri kulinda ___ wako. (usalama, kupotea)Answer: A. usalama
- Question 27: UKANUSHAJI Kanusha sentensi hizi: a) Mtoto alikula wali wote.Answer: Mtoto hakula wali wote.
- Question 28: b) Nahitaji vitabu vingi.Answer: Sihitaji vitabu vingi.
- Question 29: USALAMA Andika majina ya vitu vitatu ambavyo vinaweza kuhatarisha usalama wako.Answer: sindano, chupa iliyovunjika, msumari
- Question 30: KUANDIKA Andika sentensi kumi kuhusu: "RAFIKI YANGU"Answer: Rafiki yangu anaitwa Amani. Yeye ni mvulana mzuri. Tunasoma darasa moja. Anaishi karibu na nyumbani kwetu.…