CBC Grade 3 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 7
UFAHAMU a) Mihogo ni chakula cha aina gani? (Protini, Vitamini, Wanga)
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali:
Mihogo huhitaji maji yasiyo mengi ili imee vizuri. Mihogo ni baadhi ya vyakula vya kiasili. Pia ni chakula cha wanga. Watu hula mihogo ili wawe na nguvu ya kufanya kazi. Watoto hupata nguvu ya kucheza wakila mihogo.
Mizizi ya mihogo ndiyo huliwa. Mihogo inachemshwa kabla ya kula. Pia inaweza kukaangwa kwa mafuta mengi. Mihogo huwa mitamu zaidi ikiliwa kwa chai au maziwa.
3. UFAHAMU
a) Mihogo ni chakula cha aina gani? (Protini, Vitamini, Wanga)
- AProtini
- BVitamini
- CWanga
Answer
C. Wanga
Kifungu kinasema mihogo ni chakula cha wanga.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- b) Andika umoja wa neno mihogo.Question 8
- c) Kabla ya kula mihogo ni vizuri ___. (kuichemsha, kuipakua)Question 9
- d) Ni sehemu gani ya mihogo huliwa?Question 10
- e) Taja kinywaji kinachotumiwa kula mihogo kulingana na hadithi.Question 11
- UFAHAMU a) Taja jina la mwanafunzi aliyetajwa kwenye hadithi.Question 12
- b) Anasomea katika shule gani?Question 13