CBC Grade 3 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 8
b) Andika umoja wa neno mihogo.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali:
Mihogo huhitaji maji yasiyo mengi ili imee vizuri. Mihogo ni baadhi ya vyakula vya kiasili. Pia ni chakula cha wanga. Watu hula mihogo ili wawe na nguvu ya kufanya kazi. Watoto hupata nguvu ya kucheza wakila mihogo.
Mizizi ya mihogo ndiyo huliwa. Mihogo inachemshwa kabla ya kula. Pia inaweza kukaangwa kwa mafuta mengi. Mihogo huwa mitamu zaidi ikiliwa kwa chai au maziwa.
b) Andika umoja wa neno mihogo.
Answer
mhogo
Umoja wa mihogo ni mhogo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- c) Kabla ya kula mihogo ni vizuri ___. (kuichemsha, kuipakua)Question 9
- d) Ni sehemu gani ya mihogo huliwa?Question 10
- e) Taja kinywaji kinachotumiwa kula mihogo kulingana na hadithi.Question 11
- UFAHAMU a) Taja jina la mwanafunzi aliyetajwa kwenye hadithi.Question 12
- b) Anasomea katika shule gani?Question 13
- c) Yeye ni mwanafunzi mwenye adabu gani?Question 14