CBC Grade 3 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 12
UFAHAMU a) Taja jina la mwanafunzi aliyetajwa kwenye hadithi.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali:
Sally ni mwanafunzi wa gredi ya tatu. Anasomea katika shule ya Mipakani. Sally ni mwanafunzi mwenye adabu na heshima kwa kila mtu. Pia anatia bidii masomoni.
Sally anajulikana na kila mmoja shuleni kwa sababu ya ugwiji wake katika mchezo wa mpira wa pete. Kila jioni utampata akifanya mazoezi. Mazoezi hayo yanamtayarisha kwa michuano ya mpira wa pete kati ya shule yao na ya jirani.
4. UFAHAMU
a) Taja jina la mwanafunzi aliyetajwa kwenye hadithi.
Answer
Sally
Mwanafunzi ni Sally.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- b) Anasomea katika shule gani?Question 13
- c) Yeye ni mwanafunzi mwenye adabu gani?Question 14
- d) Mwanafunzi huyo ni gwiji katika mchezo upi?Question 15
- e) Yeye hufanyia mazoezi yake wapi? (Kanisani, uwanjani, gwarideni)Question 16
- SARUFI Linganisha mwezi na sikukuu: a) Sikukuu ya MadarakaQuestion 17
- b) Sikukuu ya JamhuriQuestion 18