naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 14

c) Yeye ni mwanafunzi mwenye adabu gani?

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali:

Sally ni mwanafunzi wa gredi ya tatu. Anasomea katika shule ya Mipakani. Sally ni mwanafunzi mwenye adabu na heshima kwa kila mtu. Pia anatia bidii masomoni.
Sally anajulikana na kila mmoja shuleni kwa sababu ya ugwiji wake katika mchezo wa mpira wa pete. Kila jioni utampata akifanya mazoezi. Mazoezi hayo yanamtayarisha kwa michuano ya mpira wa pete kati ya shule yao na ya jirani.

c) Yeye ni mwanafunzi mwenye adabu gani?

Answer

heshima

Sally ni mwanafunzi mwenye adabu na heshima kwa kila mtu.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test