CBC Grade 3 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 16
e) Yeye hufanyia mazoezi yake wapi? (Kanisani, uwanjani, gwarideni)
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali:
Sally ni mwanafunzi wa gredi ya tatu. Anasomea katika shule ya Mipakani. Sally ni mwanafunzi mwenye adabu na heshima kwa kila mtu. Pia anatia bidii masomoni.
Sally anajulikana na kila mmoja shuleni kwa sababu ya ugwiji wake katika mchezo wa mpira wa pete. Kila jioni utampata akifanya mazoezi. Mazoezi hayo yanamtayarisha kwa michuano ya mpira wa pete kati ya shule yao na ya jirani.
e) Yeye hufanyia mazoezi yake wapi? (Kanisani, uwanjani, gwarideni)
- AKanisani
- Buwanjani
- Cgwarideni
Answer
B. uwanjani
Mazoezi ya mpira wa pete hufanywa uwanjani.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- SARUFI Linganisha mwezi na sikukuu: a) Sikukuu ya MadarakaQuestion 17
- b) Sikukuu ya JamhuriQuestion 18
- c) Sikukuu ya WafanyakaziQuestion 19
- HERUFI NDOGO Andika sentensi zifuatazo kwa herufi ndogo: a) MACHUNGWA YOTE YAMEOSHWAQuestion 20
- b) WACHEZAJI WALE WAMEUMIAQuestion 21
- WINGI WA MANENO Andika sentensi zifuatazo kwa wingi: a) Gari litanunuliwa:Question 22