naQonda

CBC Grade 3 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 11

e) Taja kinywaji kinachotumiwa kula mihogo kulingana na hadithi.

From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu hiki kisha ujibu maswali:

Mihogo huhitaji maji yasiyo mengi ili imee vizuri. Mihogo ni baadhi ya vyakula vya kiasili. Pia ni chakula cha wanga. Watu hula mihogo ili wawe na nguvu ya kufanya kazi. Watoto hupata nguvu ya kucheza wakila mihogo.
Mizizi ya mihogo ndiyo huliwa. Mihogo inachemshwa kabla ya kula. Pia inaweza kukaangwa kwa mafuta mengi. Mihogo huwa mitamu zaidi ikiliwa kwa chai au maziwa.

e) Taja kinywaji kinachotumiwa kula mihogo kulingana na hadithi.

Answer

chai au maziwa

Mihogo huwa mitamu zaidi ikiliwa kwa chai au maziwa.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 3 Kiswahili questions from this test