CBC Grade 3 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 6
KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti:
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 · 5 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Mzee Kaporo alikuwa na duka kubwa ambalo aliuzia vyombo alivyotengeneza. Alisaidiwa dukani na mke wake wakati wa likizo. Watoto wake pia walimsaidia kuuza bidhaa dukani. Alikuwa na wateja wengi.
Duka lake lilikuwa na bidhaa kama vile birika, sufuria, karai, mapipa na hata majiko. Aliuza bidhaa halali kwa bei nafuu.
2. KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti:
Answer
Katika kijiji cha Poro paliishi mzee Kaporo. Mzee huyo alijulikana kwa ujuzi wake wa hali ya juu wa uhunzi. Alitengeneza vyombo vya vyuma. Alibarikiwa na watoto wawili, mvulana na msichana. Mzee Kaporo alikuwa na duka kubwa ambalo aliuzia vyombo alivyotengeneza. Alisaidiwa dukani na mke wake wakati wa likizo. Watoto wake pia walimsaidia kuuza bidhaa dukani. Alikuwa na wateja wengi. Duka lake lilikuwa na bidhaa kama vile birika, sufuria, karai, mapipa na hata majiko. Aliuza bidhaa halali kwa bei nafuu.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- UFAHAMU a) Mihogo ni chakula cha aina gani? (Protini, Vitamini, Wanga)Question 7
- b) Andika umoja wa neno mihogo.Question 8
- c) Kabla ya kula mihogo ni vizuri ___. (kuichemsha, kuipakua)Question 9
- d) Ni sehemu gani ya mihogo huliwa?Question 10
- e) Taja kinywaji kinachotumiwa kula mihogo kulingana na hadithi.Question 11
- UFAHAMU a) Taja jina la mwanafunzi aliyetajwa kwenye hadithi.Question 12