CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision Paper 5 (2026)
Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · Revision Paper 5 (2026) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 30 questions with answers
- Question 1: Je, mahali pa kupikia chakula huitwaje?Answer: Jikoni.
- Question 2: Wewe hutumia nini wakati wa kucheza?Answer: Ninatumia mpira.
- Question 3: Taja chombo kimoja cha usafiri?Answer: Basi.
- Question 4: Utatumia nini kusugua meno?Answer: Mswaki.
- Question 5: Wakati wa kushiriki michezo, washindi hupewa nini ya dhahabu?Answer: Medali ya dhahabu.
- Question 6: SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Answer: Eneo la Soweto lilikuwa na basi moja tu la usafiri. Wanakijiji waliita Taratibu. Siku moja wanakijiji…
- Question 7: a) Vyakula hupatia mwili nini?Answer: nguvu na afya
- Question 8: b) Tunafaa kupika vyakula vizuri ili tupate nini?Answer: madini yote
- Question 9: c) Taja njia mbili za kupika chakulaAnswer: kuchemsha, kukaanga
- Question 10: d) Taja chakula kimoja kinacholiwa bila kupikwaAnswer: nyanya
- Question 11: a) Wanafunzi wa shule ya Mwangaza walikuwa na siku ya ___Answer: michezo
- Question 12: b) Ahadi alipenda michezo ya kufanya nini?Answer: kukimbia
- Question 13: c) Mwalimu aliwaambia watoto wacheze kwa haki na ___Answer: waheshimiane
- Question 14: d) Wanafunzi walijifunza kuwa michezo huimarisha nini?Answer: afya na urafiki
- Question 15: Andika sentensi hizi kwa wingi. a) Wewe unasoma.Answer: Nyinyi mnasoma.
- Question 16: b) Wewe unaimba vizuri.Answer: Nyinyi mnaimba vizuri.
- Question 17: Tumia huu au hii. a) Mti ___ umekauka kabisa.Answer: A. huu
- Question 18: b) Mikoba ___ ni yetu.Answer: B. hii
- Question 19: Tumia -angu au -etu ipasavyo. a) Kiatu ___ kimeraruka.Answer: Kiatu changu
- Question 20: b) Madarasa ___ yanapendeza.Answer: Madarasa yetu
- Question 21: c) Mwalimu ___ ni mpole.Answer: Mwalimu wangu
- Question 22: Andika majina ya vitu vifuatavyo. a)Answer: ubao
- Question 23: b)Answer: chupa
- Question 24: c)Answer: chungu
- Question 25: Jaza pengo. a) dh __ h __ buAnswer: dhahabu
- Question 26: b) ch __ ak __ l __Answer: chakula
- Question 27: Andika kwa herufi ndogo. THELATHINIAnswer: thelathini
- Question 28: Chora chombo hiki kwa usafiri barabarani. GariAnswer: Gari limechorwa.
- Question 29: Kanusha sentensi hii. Mimi ninacheza vizuri.Answer: Mimi sichezi vizuri.
- Question 30: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu: SHULE YETUAnswer: Shule yetu inaitwa Shule ya Msingi Mwangaza. Iko karibu na soko. Ina madarasa mengi. Walimu wetu ni wazuri.…