naQonda

CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 7

a) Vyakula hupatia mwili nini?

From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Soma hadithi kisha ujibu maswali yafuatayo.

Vyakula hutupatia nguvu na afya mwilini. Tunafaa kupika vyakula vizuri ili tupate madini yote. Kuna njia nyingi za kupika chakula. Mtu anaweza kuchemsha, kukaanga au kuchoma chakula.
Wakati wa kupika tunaweka mafuta, chumvi na maji kwenye chakula. Chakula kinapata ladha. Vyakula vingine vinaweza kuliwa bila kupikwa. Vyakula hivi ni kama nyanya, karoti na matunda.

Bakuli za vyakula mbalimbali

a) Vyakula hupatia mwili nini?

Answer

nguvu na afya

Vyakula hutupatia nguvu na afya mwilini.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 2 Kiswahili questions from this test