CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 6
SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 10 marks · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Sauti
Eneo la Soweto lilikuwa na basi moja tu la usafiri. Wanakijiji waliita Taratibu. Siku moja wanakijiji walipanda basi hilo na mizigo yao.
Dereva aliliendesha basi hilo taratibu. Watu walimtaka aendeshe kwa kasi. Dereva alikataa kuendesha kwa kasi. Hatimaye walifika salama.
Dereva aliliendesha basi hilo taratibu. Watu walimtaka aendeshe kwa kasi. Dereva alikataa kuendesha kwa kasi. Hatimaye walifika salama.
SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI
Soma hadithi hii kwa sauti.
Answer
Eneo la Soweto lilikuwa na basi moja tu la usafiri. Wanakijiji waliita Taratibu. Siku moja wanakijiji walipanda basi hilo na mizigo yao. Dereva aliliendesha basi hilo taratibu. Watu walimtaka aendeshe kwa kasi. Dereva alikataa kuendesha kwa kasi. Hatimaye walifika salama.
Soma kila neno wazi na usimame kwenye kitone.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- a) Vyakula hupatia mwili nini?Question 7
- b) Tunafaa kupika vyakula vizuri ili tupate nini?Question 8
- c) Taja njia mbili za kupika chakulaQuestion 9
- d) Taja chakula kimoja kinacholiwa bila kupikwaQuestion 10
- a) Wanafunzi wa shule ya Mwangaza walikuwa na siku ya ___Question 11
- b) Ahadi alipenda michezo ya kufanya nini?Question 12