CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10
d) Taja chakula kimoja kinacholiwa bila kupikwa
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma hadithi kisha ujibu maswali yafuatayo.
Vyakula hutupatia nguvu na afya mwilini. Tunafaa kupika vyakula vizuri ili tupate madini yote. Kuna njia nyingi za kupika chakula. Mtu anaweza kuchemsha, kukaanga au kuchoma chakula.
Wakati wa kupika tunaweka mafuta, chumvi na maji kwenye chakula. Chakula kinapata ladha. Vyakula vingine vinaweza kuliwa bila kupikwa. Vyakula hivi ni kama nyanya, karoti na matunda.

d) Taja chakula kimoja kinacholiwa bila kupikwa
Answer
nyanya
Vyakula vinavyoliwa bila kupikwa ni nyanya, karoti na matunda.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- a) Wanafunzi wa shule ya Mwangaza walikuwa na siku ya ___Question 11
- b) Ahadi alipenda michezo ya kufanya nini?Question 12
- c) Mwalimu aliwaambia watoto wacheze kwa haki na ___Question 13
- d) Wanafunzi walijifunza kuwa michezo huimarisha nini?Question 14
- Andika sentensi hizi kwa wingi. a) Wewe unasoma.Question 15
- b) Wewe unaimba vizuri.Question 16