CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 8
b) Tunafaa kupika vyakula vizuri ili tupate nini?
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma hadithi kisha ujibu maswali yafuatayo.
Vyakula hutupatia nguvu na afya mwilini. Tunafaa kupika vyakula vizuri ili tupate madini yote. Kuna njia nyingi za kupika chakula. Mtu anaweza kuchemsha, kukaanga au kuchoma chakula.
Wakati wa kupika tunaweka mafuta, chumvi na maji kwenye chakula. Chakula kinapata ladha. Vyakula vingine vinaweza kuliwa bila kupikwa. Vyakula hivi ni kama nyanya, karoti na matunda.

b) Tunafaa kupika vyakula vizuri ili tupate nini?
Answer
madini yote
Tunapika vizuri ili tupate madini yote.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- c) Taja njia mbili za kupika chakulaQuestion 9
- d) Taja chakula kimoja kinacholiwa bila kupikwaQuestion 10
- a) Wanafunzi wa shule ya Mwangaza walikuwa na siku ya ___Question 11
- b) Ahadi alipenda michezo ya kufanya nini?Question 12
- c) Mwalimu aliwaambia watoto wacheze kwa haki na ___Question 13
- d) Wanafunzi walijifunza kuwa michezo huimarisha nini?Question 14