CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5
Wakati wa kushiriki michezo, washindi hupewa nini ya dhahabu?
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Mwalimu atakuuliza maswali nawe uyajibu kwa Kiswahili. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu.
5. Wakati wa kushiriki michezo, washindi hupewa nini ya dhahabu?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Medali ya dhahabu.
Washindi hupewa medali (nishani) ya dhahabu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Question 6
- a) Vyakula hupatia mwili nini?Question 7
- b) Tunafaa kupika vyakula vizuri ili tupate nini?Question 8
- c) Taja njia mbili za kupika chakulaQuestion 9
- d) Taja chakula kimoja kinacholiwa bila kupikwaQuestion 10
- a) Wanafunzi wa shule ya Mwangaza walikuwa na siku ya ___Question 11