CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 3
Taja chombo kimoja cha usafiri?
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Mwalimu atakuuliza maswali nawe uyajibu kwa Kiswahili. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu.
3. Taja chombo kimoja cha usafiri?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Basi.
Vyombo vya usafiri ni kama basi, gari, baiskeli na ndege.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 2 Kiswahili questions from this test
- Utatumia nini kusugua meno?Question 4
- Wakati wa kushiriki michezo, washindi hupewa nini ya dhahabu?Question 5
- SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Question 6
- a) Vyakula hupatia mwili nini?Question 7
- b) Tunafaa kupika vyakula vizuri ili tupate nini?Question 8
- c) Taja njia mbili za kupika chakulaQuestion 9