CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 1
Je, mahali pa kupikia chakula huitwaje?
From Kiswahili — Revision Paper 5 (2026) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusikiliza na Kujibu
Mwalimu atakuuliza maswali nawe uyajibu kwa Kiswahili. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu.
1. Je, mahali pa kupikia chakula huitwaje?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Jikoni.
Chakula hupikiwa jikoni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.