CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 41
Ukanusho wa sentensi, Amelewa pombe nyingi ni:
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Sarufi Na Lugha
41. Ukanusho wa sentensi, Amelewa pombe nyingi ni:
- AA. Hatalelewa pombe nyingi.
- BB. Hakulelewa pombe nyingi.
- CC. Hajalelewa pombe nyingi.
- DD. Hana ulevi wa pombe nyingi.
Answer
C. C. Hajalelewa pombe nyingi.
Jibu sahihi: C. Hajalelewa pombe nyingi..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Mti ___meanguka barabarani.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Mama alimwambia Juma kuwa amesahau pochi yake nyumbani.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Alimletea mgeni maji, inamaanisha:Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47