CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 44
Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Sarufi Na Lugha
44. Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?
- AA. Kijana yule amefaulu.
- BB. Nyumba ndefu imejengwa.
- CC. Watu wale walifika.
- DD. Gari hili ni langu.
Answer
B. B. Nyumba ndefu imejengwa.
Jibu sahihi: B. Nyumba ndefu imejengwa..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Alimletea mgeni maji, inamaanisha:Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: kata, -kata.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49
- Mwenzako amekuwa akiahidi mambo mengi lakini htekelezi hata moja. Chagua methali utakayotumia kumwonya.Question 50