CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 46
Sentensi, Alimletea mgeni maji, inamaanisha:
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Sarufi Na Lugha
46. Sentensi, Alimletea mgeni maji, inamaanisha:
- AA. Alibeba maji akampa mgeni.
- BB. Alimletea mgeni maji baada ya kumwona.
- CC. Alimletea mgeni maji kwa ajili ya mgeni.
- DD. Mgeni alikuja na maji.
Answer
C. C. Alimletea mgeni maji kwa ajili ya mgeni.
Jibu sahihi: C. Alimletea mgeni maji kwa ajili ya mgeni..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: kata, -kata.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49
- Mwenzako amekuwa akiahidi mambo mengi lakini htekelezi hata moja. Chagua methali utakayotumia kumwonya.Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, ni kweli kuwa:Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, mojawapo ya athari za matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ni:Question 2