CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 45
Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Sarufi Na Lugha
45. Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.
- AA. Kwaheri; mimi huenda.
- BB. Kwaheri! Mimi huenda.
- CC. Kwaheri, mimi huenda.
- DD. Kwaheri? Mimi huenda.
Answer
B. B. Kwaheri! Mimi huenda.
Jibu sahihi: B. Kwaheri! Mimi huenda..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Sentensi, Alimletea mgeni maji, inamaanisha:Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: kata, -kata.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49
- Mwenzako amekuwa akiahidi mambo mengi lakini htekelezi hata moja. Chagua methali utakayotumia kumwonya.Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, ni kweli kuwa:Question 1