CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 50
Mwenzako amekuwa akiahidi mambo mengi lakini htekelezi hata moja. Chagua methali utakayotumia kumwonya.
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Sarufi Na Lugha
50. Mwenzako amekuwa akiahidi mambo mengi lakini htekelezi hata moja. Chagua methali utakayotumia kumwonya.
- AA. Ahadi ni deni.
- BB. Akiba haiozi.
- CC. Haraka haraka haina baraka.
- DD. Hasira hasara.
Answer
A. A. Ahadi ni deni.
Jibu sahihi: A. Ahadi ni deni..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na aya ya kwanza, ni kweli kuwa:Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, mojawapo ya athari za matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ni:Question 2
- Methali, akili ni nywele, kila mtu ana zake, ina maana gani kulingana na kifungu?Question 3
- Kurejelea aya ya tatu, ni ipi kati ya zifuatazo si athari ya mitandao ya kijamii kwa afya ya akili?Question 4
- Bainisha faida moja ya mitandao ya kijamii iliyotajwa katika kifungu.Question 5
- Neno, mawimbi ya ukimya limetumika katika kifungu. Chagua maana yake sahihi.Question 6