CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 47
Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Sarufi Na Lugha
47. Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.
- AA. Yeye ni simba wa uwanjani.
- BB. Kelele zake zilikuwa kama radi.
- CC. Mvumilivu hula mbivu.
- DD. Amekata kauli.
Answer
B. B. Kelele zake zilikuwa kama radi.
Jibu sahihi: B. Kelele zake zilikuwa kama radi..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: kata, -kata.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49
- Mwenzako amekuwa akiahidi mambo mengi lakini htekelezi hata moja. Chagua methali utakayotumia kumwonya.Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, ni kweli kuwa:Question 1
- Kwa mujibu wa kifungu, mojawapo ya athari za matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii ni:Question 2
- Methali, akili ni nywele, kila mtu ana zake, ina maana gani kulingana na kifungu?Question 3