CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 43
Chagua usemi halisi wa: Mama alimwambia Juma kuwa amesahau pochi yake nyumbani.
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Sarufi Na Lugha
43. Chagua usemi halisi wa:
Mama alimwambia Juma kuwa amesahau pochi yake nyumbani.
- AA. “Umesahau pochi yako nyumbani,” Mama alimwambia Juma.
- BB. “Nimesahau pochi yangu nyumbani,” Mama alimwambia Juma.
- CC. “Amesahau pochi yake nyumbani,” Mama alimwambia Juma.
- DD. “Amelala pochi yake nyumbani,” Mama alimwambia Juma.
Answer
B. B. “Nimesahau pochi yangu nyumbani,” Mama alimwambia Juma.
Jibu sahihi: B. “Nimesahau pochi yangu nyumbani,” Mama alimwambia Juma..
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Alimletea mgeni maji, inamaanisha:Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tashibiha.Question 47
- Chagua jibu lenye maana ya maneno yafuatayo: kata, -kata.Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya udogo?Question 49