CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 40
Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano. kubwa | dogo nyeupe | ___
From Test 82 — Kiswahili Paper 1 Opener Term 3 · 1 mark · Topic: Sarufi Na Lugha
40. Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano.
kubwa | dogo
nyeupe | ___
- AA. kijani
- BB. jekundu
- CC. nyeusi
- DD. bluu
Answer
C. C. nyeusi
Jibu sahihi: C. nyeusi.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ukanusho wa sentensi, Amelewa pombe nyingi ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Mti ___meanguka barabarani.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Mama alimwambia Juma kuwa amesahau pochi yake nyumbani.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha sifa. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Alimletea mgeni maji, inamaanisha:Question 46