CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 13
Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 13.
From Kiswahili — Term One Opener Assessment 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
SARUFI
Soma kifungu kifuatacho kisha ujaze pengo kwa kuchagua jibu lifaalo zaidi kati ya yale uliyopewa.
Maendeleo ya kiteknolojia __13__ ulimwengu kupiga hatua kubwa. Siku hizi watu __14__ kwa urahisi popote __15__. Hapo zamani, watu walisafiri masafa __16__ __17__ waweze kufikishiana ujumbe muhimu.
13. Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 13.
- Ayameiwezesha
- Bimeuwezesha
- Ckimeuwezesha
- Dyameuwezesha
Answer
D. yameuwezesha
"Maendeleo" ni ngeli ya YA-YA, kwa hivyo kiambishi cha mtenda ni ya-; "ulimwengu" ni ngeli ya U-I, kwa hivyo kiambishi cha mtendwa ni -u-: yameuwezesha.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 14.Question 14
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 15.Question 15
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 16.Question 16
- Chagua jibu linalofaa kujaza pengo la 17.Question 17
- Chagua kadi iliyo na nomino za makundi pekee.Question 18
- Karani alikuwa akiandika barua. Iandike sentensi hii katika wakati ujao hali ya kuendelea. (alama 1)Question 19