CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 41
Ukanusho wa sentensi, Amepika chakula kitamu, ni:
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanusho wa Sentensi
41. Ukanusho wa sentensi, Amepika chakula kitamu, ni:
- AHatapika chakula kitamu.
- BHakupika chakula kitamu.
- CHajapika chakula kitamu.
- DHangepika chakula kitamu.
Answer
C. Hajapika chakula kitamu.
Wakati uliopita hivi karibuni -me- hukanushwa kwa -ja-: amepika → hajapika.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Mzee ___ kijiji alikufa jana.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Mwalimu aliwaambia wanafunzi kwamba walifaa kufanya kazi kwa bidii.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha kuonyesha. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Juma alicheza na mpira, inamaanisha Juma alikuwa akicheza huku mpira ukiwa karibu naye. Chagua jibu lenye…Question 46
- Sentensi zifuatazo zimetumia mbinu mbalimbali za lugha. Chagua sentensi ambayo imetumia tabaini.Question 47