CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 40
Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Visawe na Vinyume
| mrefu | fupi |
| pana | __________ |
40. Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano.
- Andogo
- Bnyembamba
- Cfupi
- Dchache
Answer
B. nyembamba
Mfano unaonyesha kinyume: mrefu ni kinyume cha fupi. Kinyume cha pana ni nyembamba.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Ukanusho wa sentensi, Amepika chakula kitamu, ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Mzee ___ kijiji alikufa jana.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Mwalimu aliwaambia wanafunzi kwamba walifaa kufanya kazi kwa bidii.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha kuonyesha. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45
- Sentensi, Juma alicheza na mpira, inamaanisha Juma alikuwa akicheza huku mpira ukiwa karibu naye. Chagua jibu lenye…Question 46