CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 39
Nomino, mwanafunzi iko katika ngeli ya A-WA. Nomino, kijiji iko katika ngeli gani?
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
39. Nomino, mwanafunzi iko katika ngeli ya A-WA. Nomino, kijiji iko katika ngeli gani?
- AKI-VI
- BU-YA
- CI-ZI
- DLI-YA
Answer
A. KI-VI
Kijiji huwa vijiji katika wingi (kijiji kimejengwa, vijiji vimejengwa): ngeli ya KI-VI.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano.Question 40
- Ukanusho wa sentensi, Amepika chakula kitamu, ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Mzee ___ kijiji alikufa jana.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Mwalimu aliwaambia wanafunzi kwamba walifaa kufanya kazi kwa bidii.Question 43
- Mwenzako amekuomba umwonyeshe sentensi yenye kivumishi cha kuonyesha. Utachagua sentensi ipi?Question 44
- Chagua jibu lenye sentensi iliyoakifishwa ipasavyo.Question 45