CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 37
Ni sentensi gani iliyo katika hali ya kutegemezi?
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Hali za Vitenzi
Ni sentensi gani iliyo katika hali ya kutegemezi?
- AAkina mama wanapika chakula kitamu.
- BNingalijua, ningalifika mapema.
- CWanafunzi watafanya mtihani kesho.
- DMwalimu alifundisha kwa bidii.
Answer
B. Ningalijua, ningalifika mapema.
Jibu sahihi: Ningalijua, ningalifika mapema.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Neno alikuwa katika sentensi: Ali alikuwa akicheza kandanda, ni kitenzi kisaidizi. Chagua sentensi yenye kitenzi…Question 38
- Nomino, kijiko iko katika ngeli ya KI-VI. Nomino, ukuta iko katika ngeli gani?Question 39
- Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano. nene — nyembamba tajiri — ___Question 40
- Ukanusho wa sentensi, Amepanda mlima mrefu, ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Meza ___ imevunjika.Question 42
- Chagua usemi halisi wa: Mama alimwambia Halima kwamba angekuja kumtembelea kesho.Question 43