CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 36
Neno, amani katika sentensi: Amani imetawala nchini, ni nomino dhahania. Chagua jibu linaloonyesha aina za nomino zilizopigiwa mstari katika sentensi…
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Nomino
Neno, amani katika sentensi: Amani imetawala nchini, ni nomino dhahania.
Chagua jibu linaloonyesha aina za nomino zilizopigiwa mstari katika sentensi ifuatayo:
Mkutano wa walimu ulifanyika Jumapili.
(walimu, Jumapili)
- Apekee, wingi
- Bkawaida, pekee
- Cwingi, makundi
- Dmakundi, kawaida
Answer
B. kawaida, pekee
Jibu sahihi: kawaida, pekee.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi gani iliyo katika hali ya kutegemezi?Question 37
- Neno alikuwa katika sentensi: Ali alikuwa akicheza kandanda, ni kitenzi kisaidizi. Chagua sentensi yenye kitenzi…Question 38
- Nomino, kijiko iko katika ngeli ya KI-VI. Nomino, ukuta iko katika ngeli gani?Question 39
- Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano. nene — nyembamba tajiri — ___Question 40
- Ukanusho wa sentensi, Amepanda mlima mrefu, ni:Question 41
- Chagua jibu lenye kiambishi kinachofaa kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Meza ___ imevunjika.Question 42