CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 35
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 35 katika kifungu.
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kuandika, Methali na Nahau
Kifungu cha Sita: Ujazaji wa Nafasi — Mazingira
Mazingira yetu ni muhimu sana. 26__________tunaishi katika mazingira safi na yenye afya, basi tutakuwa na afya njema. Ni muhimu sana 27__________ kudumisha usafi wa mazingira yetu 28__________ nyumbani na shuleni. Je, 29______________ tunapaswa kufanya nini ili tuyahifadhi mazingira yetu? Inatubidi 30_________ taka vizuri. Kwa njia hii, tutazuia magonjwa kama vile kipindupindu. Jambo lingine ni kupanda miti mingi. Tukipanda miti, tutapata hewa safi na kuzuia mmomonyoko wa udongo. 31______ tufanye usafi wa mara kwa mara katika vitongoji vyetu. Ni 32__________ kushiriki katika kampeni za usafi 33_________. 34_______ tunapaswa kushirikiana kudumisha usafi kwani 35____________.

- Abaada ya dhiki faraja.
- Bmkono mmoja haulei mwana.
- Cmtaka cha mvunguni sharti ainame.
- Duhai ni afya.
Answer
B. mkono mmoja haulei mwana.
Jibu sahihi: mkono mmoja haulei mwana.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Neno, amani katika sentensi: Amani imetawala nchini, ni nomino dhahania. Chagua jibu linaloonyesha aina za nomino…Question 36
- Ni sentensi gani iliyo katika hali ya kutegemezi?Question 37
- Neno alikuwa katika sentensi: Ali alikuwa akicheza kandanda, ni kitenzi kisaidizi. Chagua sentensi yenye kitenzi…Question 38
- Nomino, kijiko iko katika ngeli ya KI-VI. Nomino, ukuta iko katika ngeli gani?Question 39
- Chagua neno sahihi kujaza nafasi katika jedwali lifuatalo. Fuata mfano. nene — nyembamba tajiri — ___Question 40
- Ukanusho wa sentensi, Amepanda mlima mrefu, ni:Question 41