naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 40

Chagua ukanusho wa sentensi ifuatayo: Chakula kingepikwa wageni wangekula.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji

40. Chagua ukanusho wa sentensi ifuatayo:
Chakula kingepikwa wageni wangekula.

  1. AChakula kisipopikwa wageni hawatakula.
  2. BChakula hakijapikwa wageni hawajala.
  3. CChakula kisingepikwa wageni wasingekula.
  4. DChakula kisingalipikwa wageni wasingalikula.

Answer

C. Chakula kisingepikwa wageni wasingekula.

-nge- hukanushwa kwa -singe-.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test