CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 44
Chagua jibu lenye sentensi iliyounganishwa ifaavyo Alikuwa mgonjwa. Alikuja shuleni kusoma.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuunganisha Sentensi
44. Chagua jibu lenye sentensi iliyounganishwa ifaavyo
Alikuwa mgonjwa. Alikuja shuleni kusoma.
- AAlikuwa mgonjwa kisha alikuja shuleni kusoma.
- BAlikuwa mgonjwa sembuse alikuja shuleni kusoma.
- CAlikuwa mgonjwa bali alikuja shuleni kusoma.
- DAlikuwa mgonjwa ingawa alikuja shuleni kusoma.
Answer
D. Alikuwa mgonjwa ingawa alikuja shuleni kusoma.
Ingawa huonyesha kinyume.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni maneno yepi ambayo yameambatanishwa tofauti na mengine (vinyume)?Question 45
- Chagua jibu sahihi. Kaka alimpigia simu dada naye dada akampigia simu kaka. Kwa hivyo:Question 46
- Sentensi: Mkulima hodari anavuna mazao mengi, katika wakati uliopita ni:Question 47
- Ni jibu lipi ambalo ni wingi wa sentensi: 'Ufunguo uliopotea umepatikana.'Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya mazoea?Question 49
- Kamilisha methali ifuatayo: Haba na haba hujaza ___Question 50