CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 50
Kamilisha methali ifuatayo: Haba na haba hujaza ___
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Msamiati, Methali
50. Kamilisha methali ifuatayo:
Haba na haba hujaza ______
- Agunia.
- Bkikapu.
- Ckibaba.
- Dmtungi.
Answer
C. kibaba.
Haba na haba hujaza kibaba.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na aya ya kwanza, Musa alitembea haraka kuelekea nyumbani iliQuestion 1
- Mawazo ya Musa, "Kuna mtoto mtoni?" yanadhihirisha nini kuhusu jamii yake?Question 2
- Chagua jibu linaloonyesha kuwa Musa ni jasiri.Question 3
- Chagua mfuatano sahihi wa matukio katika kifungu hiki. (i) Musa kupeleka ripoti polisi. (ii) Musa kusikia kilio cha…Question 4
- Kauli "alikuwa ametulia tuli kama maji ya mtungi" ni tamathali gani ya usemi?Question 5
- Unafikiri polisi walichukua hatua gani baada ya kisa hiki kuripotiwa?Question 6