CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 49
Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya mazoea?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
49. Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya mazoea?
- AJua linachomoza mashariki.
- BJua huchomoza mashariki.
- CJua litachomoza mashariki.
- DJua lilichomoza mashariki.
Answer
B. Jua huchomoza mashariki.
Hu- ni hali ya mazoea.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha methali ifuatayo: Haba na haba hujaza ___Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, Musa alitembea haraka kuelekea nyumbani iliQuestion 1
- Mawazo ya Musa, "Kuna mtoto mtoni?" yanadhihirisha nini kuhusu jamii yake?Question 2
- Chagua jibu linaloonyesha kuwa Musa ni jasiri.Question 3
- Chagua mfuatano sahihi wa matukio katika kifungu hiki. (i) Musa kupeleka ripoti polisi. (ii) Musa kusikia kilio cha…Question 4
- Kauli "alikuwa ametulia tuli kama maji ya mtungi" ni tamathali gani ya usemi?Question 5