CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 43
Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo.
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukubwa na Udogo
43. Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo.
- AJitu lile lilikula jichakula kingi.
- BMtu yule alikula chakula kingi.
- CKijitu kile kilikula kichakula kingi.
- DKijitu kile kilikula chakula kingi.
Answer
C. Kijitu kile kilikula kichakula kingi.
Kijitu na kichakula ni udogo.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye sentensi iliyounganishwa ifaavyo Alikuwa mgonjwa. Alikuja shuleni kusoma.Question 44
- Ni maneno yepi ambayo yameambatanishwa tofauti na mengine (vinyume)?Question 45
- Chagua jibu sahihi. Kaka alimpigia simu dada naye dada akampigia simu kaka. Kwa hivyo:Question 46
- Sentensi: Mkulima hodari anavuna mazao mengi, katika wakati uliopita ni:Question 47
- Ni jibu lipi ambalo ni wingi wa sentensi: 'Ufunguo uliopotea umepatikana.'Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya mazoea?Question 49