CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 42
Usemi halisi wa sentensi: Mwalimu alisema kuwa wanafunzi wangeenda likizoni siku hiyo, ni:
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi Halisi
42. Usemi halisi wa sentensi: Mwalimu alisema kuwa wanafunzi wangeenda likizoni siku hiyo, ni:
- A"Wanafunzi wataenda likizoni siku hiyo," mwalimu alisema.
- B"Wanafunzi wataenda likizoni leo," mwalimu alisema.
- C"Wanafunzi wangeenda likizoni leo," mwalimu alisema.
- D"Wanafunzi wameenda likizoni leo," mwalimu alisema.
Answer
B. "Wanafunzi wataenda likizoni leo," mwalimu alisema.
Siku hiyo → leo; wangeenda → wataenda.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo.Question 43
- Chagua jibu lenye sentensi iliyounganishwa ifaavyo Alikuwa mgonjwa. Alikuja shuleni kusoma.Question 44
- Ni maneno yepi ambayo yameambatanishwa tofauti na mengine (vinyume)?Question 45
- Chagua jibu sahihi. Kaka alimpigia simu dada naye dada akampigia simu kaka. Kwa hivyo:Question 46
- Sentensi: Mkulima hodari anavuna mazao mengi, katika wakati uliopita ni:Question 47
- Ni jibu lipi ambalo ni wingi wa sentensi: 'Ufunguo uliopotea umepatikana.'Question 48