naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 41

Mama alimfanya mtoto acheze uwanjani. Chagua jibu sahihi kutokana na maelezo haya:

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi

41. Mama alimfanya mtoto acheze uwanjani. Chagua jibu sahihi kutokana na maelezo haya:

  1. AMama alimchezea mtoto uwanjani.
  2. BMama alichezewa na mtoto uwanjani.
  3. CMama alimchezesha mtoto uwanjani.
  4. DMama na mtoto walichezeana uwanjani.

Answer

C. Mama alimchezesha mtoto uwanjani.

Kauli ya kutendesha: alimchezesha.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test