CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 46
Chagua jibu sahihi. Kaka alimpigia simu dada naye dada akampigia simu kaka. Kwa hivyo:
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
46. Chagua jibu sahihi.
Kaka alimpigia simu dada naye dada akampigia simu kaka. Kwa hivyo:
- Awalipigiana
- Bwalipigika
- Cwalipigiwa
- Dwalipigana
Answer
A. walipigiana
Kauli ya kutendeana: walipigiana.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Sentensi: Mkulima hodari anavuna mazao mengi, katika wakati uliopita ni:Question 47
- Ni jibu lipi ambalo ni wingi wa sentensi: 'Ufunguo uliopotea umepatikana.'Question 48
- Ni sentensi ipi iliyo katika hali ya mazoea?Question 49
- Kamilisha methali ifuatayo: Haba na haba hujaza ___Question 50
- Kulingana na aya ya kwanza, Musa alitembea haraka kuelekea nyumbani iliQuestion 1
- Mawazo ya Musa, "Kuna mtoto mtoni?" yanadhihirisha nini kuhusu jamii yake?Question 2