CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 39
Amina alifika sokoni akapata mboga zote zimeuzwa. Kwa hivyo:
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viunganishi
39. Amina alifika sokoni akapata mboga zote zimeuzwa. Kwa hivyo:
- AAmina alifika lakini akapata mboga zimeuzwa.
- BAmina alifika kwani akapata mboga zimeuzwa.
- CAmina alifika pia akapata mboga zimeuzwa.
- DAmina alifika lau akapata mboga zimeuzwa.
Answer
A. Amina alifika lakini akapata mboga zimeuzwa.
"Lakini" huonyesha kinyume cha matarajio.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua ukanusho wa sentensi ifuatayo: Chakula kingepikwa wageni wangekula.Question 40
- Mama alimfanya mtoto acheze uwanjani. Chagua jibu sahihi kutokana na maelezo haya:Question 41
- Usemi halisi wa sentensi: Mwalimu alisema kuwa wanafunzi wangeenda likizoni siku hiyo, ni:Question 42
- Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo.Question 43
- Chagua jibu lenye sentensi iliyounganishwa ifaavyo Alikuwa mgonjwa. Alikuja shuleni kusoma.Question 44
- Ni maneno yepi ambayo yameambatanishwa tofauti na mengine (vinyume)?Question 45