CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 38
Chagua kiambishi sahihi kukamilisha nafasi katika sentensi ifuatayo: Nyumba nzuri ___lizojengwa bondeni zimependeza
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viambishi
38. Chagua kiambishi sahihi kukamilisha nafasi katika sentensi ifuatayo:
Nyumba nzuri ______lizojengwa bondeni zimependeza
- Au
- Bi
- Czi
- Dya
Answer
C. zi
Nyumba (wingi, N): zilizojengwa.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Amina alifika sokoni akapata mboga zote zimeuzwa. Kwa hivyo:Question 39
- Chagua ukanusho wa sentensi ifuatayo: Chakula kingepikwa wageni wangekula.Question 40
- Mama alimfanya mtoto acheze uwanjani. Chagua jibu sahihi kutokana na maelezo haya:Question 41
- Usemi halisi wa sentensi: Mwalimu alisema kuwa wanafunzi wangeenda likizoni siku hiyo, ni:Question 42
- Chagua sentensi iliyo katika hali ya udogo.Question 43
- Chagua jibu lenye sentensi iliyounganishwa ifaavyo Alikuwa mgonjwa. Alikuja shuleni kusoma.Question 44